
S.M., 27, a delivery driver in Dar es Salaam, Tanzania
“Kabla virusi vya korona keenea mipakani na kote ulimwenguni, ilikuwa ni rahisi sana kufanya biashara kati ya nchi hizo mbili ya Kenya na Tanzania. Kuvuka mipaka ya Kenya na Tanzania ilikuwa ni rahisi kama kumeza chakula ulikokwisha tafuniwani…”