
O.K., 25, a security professional in Kampala, Uganda
“Kuna wenzanu tuliyiyopo nao awali amabao walipoteza kazi zao kwa sababu kampuni yetu inayotuajiri ilikuwa inashuhudia shida ya mapato kwa kuwa watu ambao wanaishi kwa nyumba ambayo tulikuwa tunalinda hawakuwa wanalipa ada ya nyumba. Imebidi tuzae mask kila wakati na tunapokuwa tunapima joto ya miili ya watu inatubidi tupime kando yao na si mbele yao kwa sababu kuna uwezekano kuwa mtu ambaye unampima anaweza kuwa na virusi vya korona na kwa wakati huo anaweza kukohoa…”