
W.A., 21, a caretaker in Kisumu, Kenya
“Juzi tu, kampuni ya Kenya power ambayo inasimamia usambazaji wa stima ilikata stima kwa kuwa watu hao wakongwe walikuwa na walikuwa na deni ya miezi ya kutolipa ada ya stima. Hivyo basi kwa siku mbili mtawalia watu hao wakongwe waliketi kwenye giza. Ni muhimu kukumbuka kuwa wazee hao wanahitaji joto ya stima ili wasiwe na baridi…”